Kundi hili ni moja kati ya kundi linalokutana na kadhia nyingi wanapopita katika mitaa mbalimbali kujikusanyia taka za plastiki hasa chupa za maji kama njia mojawapo ya kujiingizia kipato
Wakazi wa Kijiji cha Kanyenja wanasema licha ya tembo kufanya uharibifu katika mashamba yao kila mwaka wanatambua kuwa binadamu na wanyamapori wanaishi katika dunia moja, hivyo ni muhimu kujua mipaka wanapohusiana.