Jamii imetakiwa kushiriki katika ulinzi na usalama wa mtoto.
Afisa Ustawi wa Jamii mkoani Morogoro bibi Magreth Henjewele na wadau kutoka shirika la CDO Mvomero wakizungumzia umuhimu wa jamii…
Ukweli utawapeni Uhuru
Afisa Ustawi wa Jamii mkoani Morogoro bibi Magreth Henjewele na wadau kutoka shirika la CDO Mvomero wakizungumzia umuhimu wa jamii…
Suala la utunzaji wa mazingira katika kata ya Boma Manispaa ya Morogoro ni miongoni mwa vipaumbele vinavyooneshwa ambapo hadi sasa…
Ili jamii iweze kuwa salama suala la ulinzi wa mtoto ni jukumu la kila mmoja. Jukumu hili hapaswi kuachiwa mtu…
Kundi hili ni moja kati ya kundi linalokutana na kadhia nyingi wanapopita katika mitaa mbalimbali kujikusanyia taka za plastiki hasa chupa za maji kama njia mojawapo ya kujiingizia kipato
Wakazi wa Kijiji cha Kanyenja wanasema licha ya tembo kufanya uharibifu katika mashamba yao kila mwaka wanatambua kuwa binadamu na wanyamapori wanaishi katika dunia moja, hivyo ni muhimu kujua mipaka wanapohusiana.
Morogoro. “Nimejenga kwa kutumia Vikoba, nimesomesha watoto wangu kupitia Vikoba na bado naendesha shughuli zangu ndogo ndogo za ujasiriamali hasa…