Ushiriki wa wananchi katika uhifadhi wa Pori la Akiba Kilombero January 31, 2024Angela Ukweli FM Podikasiti Ushiriki wa wananchi katika uhifadhi wa Pori la Akiba Kilombero Play Episode Pause Episode Mute/Unmute Episode Rewind 10 Seconds 1x Fast Forward 30 seconds 00:00 / 20:44 Subscribe Share RSS Feed Share Link Embed Jiunge na Jarida letu Ingiza barua pepe...
Taa za umemejua zilivyosaidia kupunguza migogoro ya binadamu na tembo katika kijiji cha Kanyenja mkoani Morogoro Wakazi wa Kijiji cha Kanyenja wanasema licha ya tembo kufanya uharibifu katika mashamba yao kila mwaka wanatambua kuwa binadamu na wanyamapori wanaishi katika dunia moja, hivyo ni muhimu kujua mipaka wanapohusiana.