Category: BAYOANUAI
Vijana wanavyojiajiri kwa kuokota chupa za plastiki Morogoro
Kundi hili ni moja kati ya kundi linalokutana na kadhia nyingi wanapopita katika mitaa mbalimbali kujikusanyia taka za plastiki hasa chupa za maji kama njia mojawapo ya kujiingizia kipato
Taa za umemejua zilivyosaidia kupunguza migogoro ya binadamu na tembo katika kijiji cha Kanyenja mkoani Morogoro
Wakazi wa Kijiji cha Kanyenja wanasema licha ya tembo kufanya uharibifu katika mashamba yao kila mwaka wanatambua kuwa binadamu na wanyamapori wanaishi katika dunia moja, hivyo ni muhimu kujua mipaka wanapohusiana.
Vikoba vilivyo saidia kuboresha maisha ya wanawake waishio usharoba wa Nyerere Selous -Udzungwa
Morogoro. “Nimejenga kwa kutumia Vikoba, nimesomesha watoto wangu kupitia Vikoba na bado naendesha shughuli zangu ndogo ndogo za ujasiriamali hasa…
Upandaji miti ya asili ushoroba wa nyerere Selous Udzugwa
Morogoro. Kwa miaka mingi sasa Bibi Prudencia Cypriani Sangira mkazi wa kijiji cha Sole wilayani Kilombero Mkoani morogoro amekuwa akilima…