
Suala la utunzaji wa mazingira katika kata ya Boma Manispaa ya Morogoro ni miongoni mwa vipaumbele vinavyooneshwa ambapo hadi sasa Kikundi cha Swahili Foundation kilichopo mtaa wa Madizini kinaonesha mfano mzuri.
Kikundi hiki ni moja ya vikundi vya mfano vinavyoifanya jamii ya kata hii kujifunza umuhimu wa utunzaji mazingira.
Simon Mogella ni mwanahabari kutoka Radio Ukweli amepata nafasi ya kufanya mazungumzo na wanakikundi hicho.
Karibu usikilize
